Harmonize ataja mkwanja anaoingiza kupitia YouTube - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 7 November 2017

Harmonize ataja mkwanja anaoingiza kupitia YouTube

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ametaja kiasi cha fedha ambacho anaingiza kwa mwezi kupitia YouTube.

Muimbaji huyo ambaye yupo chini ya usimamizi wa label ya WCB amesema kwa mwezi mmoja anaweza kuingiza kati ya Euro 4,000 au 5,000 sawa na milioni Tsh. Milion 10.
Account ya YouTube ya Harmonize ina subscriber 202, 939 ikiwa na jumla ya video 144.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here