Rais Magufuli alivyoagwa nchini Uganda - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 13 May 2016

Rais Magufuli alivyoagwa nchini Uganda


May 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliwasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na siku iliyofuata Rais Magufuli alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni .

Katika mazungumzo hayo Rais Magufuli  alimshauri Rais Museveni kufupisha muda wa ujenzi wa mradi wa Bomba la mafuta kwa kutumia wakandarasi wengi watakaogawanywa katika vipande tofauti badala ya kutumia mkandarasi mmoja.
2
Uwanja wa ndege wa Entebe wakati Rais Magufuli akiondoka kurejea Tanzania.
55 Rais Magufuli alipowasili kwenye hafla ya chakula cha jioni na Viongozi wakuu wa nchi mbalimbali.
3
6
8
3 6  8 9

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here