Kituo cha Funga Funga Moro chanufaika na asilimia 10 ya BMS Tour ya Belle 9 - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 4 July 2016

Kituo cha Funga Funga Moro chanufaika na asilimia 10 ya BMS Tour ya Belle 9

Belle 9 anatarajia kutoa asilimia 10 ya mapato atakayoingiza kwenye show yake ziara ya BMS mjini Morogoro kusaidia kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Funga Funga kilichopo mkoani humo.
2f39ece5-390d-4403-b982-d407fa417a47
Belle amekusanya wasanii kibao kumsindikiza kwenye ziara yake ya BMS mjini Morogoro siku ya Eid Pili.

Wasanii watakaomsindikiza ni pamoja na Jay Moe, Izzo Bizness, Afande Sele, Shilole, Mo Music, O-Ten, Dayna Nyange, Stamina, Darassa na wengine.
Mshereheshaji kwenye show atakuwa mtangazaji wa Clouds FM, B12.
Wiki iliyopita alikitembelea kituo hicho na kutumbuiza mbele ya wazee hao.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here