Kocha wa Toto African Logacian Kaijage ametangaza kuachana na timu hiyo - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 4 October 2016

Kocha wa Toto African Logacian Kaijage ametangaza kuachana na timu hiyo

   rogasian-kaijage
Kocha mkuu wa timu ya Toto African Logacian Kaijage, ametangaza kuachana na timu hiyo kwa kile alichokisema kuwepo kwa sababu za ndani ya timu zinazomsukuma kuachana na timu hiyo.

Kaijage akiongea na mtangazaji wa TBC One amesema

“Unajua mimi ni mwalimu mzoefu na timu inawachezaji wazuri japo siyo wazoefu kuna vitu ambavyo vipo ndani ya timu ambavyo siwezi kukwambia mtangazi kwaiyo naona hata nikisema niendelee kubaki patakuwa ivyo ivyo tu ambavyo kwangu vitakuwa ni vikwazo katika kufanya kazi yangu ya ukocha” Alisema Kaijege

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here