Mitandao ya kutafuta wachumba
1. Zoosk
Huu ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa
kutafuta wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Mtandao huu unaruhusu
watumiaji kuweza kujamiiana na wenza katika mitaa unayoishi. Uzuri wa mtandao
huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™ wenye uwezo wa kutambua
mchumba atakaye kufaa zaidi kwa kutumia profile yako. Mtandao huu una watumiji
zaidi ya milioni 25 duniani. [Soma: Jinsi ya
kumtongoza mwanamke kwa klabu ama baa]
2. Tinder
Huu mi mtandao spesheli wa kutumia kitumizi. Mtandao huu ni
rahisi kuutumia. Kile kinachohitajika hapa ni kusukuma upande wa kulia kupenda
picha ya mtu ama kusukuma upande wa kushoto kutakaa picha ya mtu. Iwapo wewe na
mwengine mumependezwa na picha zenu mtaorodheshwa kama wachumba wa kifani.
3. Lovoo
Huu ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi
karibu na wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia
teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe. [Soma: Jizuie usifanye
mapenzi kwa kufuata hatua hizi]
4. Eskimi
Huu ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki
zako wa facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia
na kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.
5. SpeedDate
Huu ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi
ya milioni 13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati
uliopo na pia kuchat papo kwa hapo. [Soma: Njia rahisi
kumuuliza mwanamke mtoke deti]
6. BeNaughty
Huu ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na
kutangamana na wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa
kuwaorodhesha wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua
bila tatizo.
7. Tagged
Huu ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 300. Mtandao huu
unakupa nafasi ya kukutana na kipenzi chako kupitia kwa michezo ambayo
inapatikana ndani yake. [Soma: Mambo ambayo
wanawake hufanya ambayo huchukiza wanaume]
8. Instadate
Mtandao huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa
nafasi ya papo kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single. [Soma: Utajuaje kama
mpenzi wako anataka kukuacha?]
9. AYI – Are You Interested?
Huu ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook
ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani yuko
interested.
10. SayHi!
Huu mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba
wapweke kupata mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na pia kupata marafiki wapya.
Jambo la kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa
kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi. [Soma: Vitu vya kufanya
na kuepuka ikija maswala ya kumtext mwanamke]
No comments:
Post a Comment