Birthday ya mtoto wa Diamond, ‘Tiffah’ yaanza kuandaliwa miezi 3 kabla - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 25 May 2016

Birthday ya mtoto wa Diamond, ‘Tiffah’ yaanza kuandaliwa miezi 3 kabla

Mtoto wa staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz, Tiffah atatimiza mwaka mmoja August 6 mwaka huu, ambapo tayari familia yake imeanza kufanya maandalizi ya kusherekea sherehe ya mtoto wao kutimiza mwaka mmoja.
Tiffah3e
Kupitia ukurasa wa instagram wa Tiffah ambao unaendeshwa na wazazi wake, umetoa ujumbe huu kwa kampuni za mapambo:


My 1st Royal birthday is loading. Kindly tag the best event planner/decor personnels that you’d like to see plan and manage my bday party
Tiffah
Wadau na mashabiki mbalimbali wa Diamond na Zari, wanasubiria kwa hamu kushuhudia tukio hilo la aina yake, huku kukiwa hakuna taarifa rasmi kwamba sherehe hiyo itafanyikia wapi.
Tiffah3Tiffah3

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here