Maswali Mazuri ya Kumuuliza Mwanamke - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 4 October 2016

Maswali Mazuri ya Kumuuliza Mwanamke

   


Ushafikiwa na pahali ambapo unashindwa kumuuliza maswali mwanamke katika mtandao? Hii inatokea wakati ambapo unaishiwa na stori ama maswala ambayo yanaweza kuzua stori zaidi. Well, usiwe na wasiwasi kwani haya ni baadhi ya mambo ambayo huwatokea wanaume wengi mara nyingi ambapo wanachat na wanawake ambao ni wangeni kwao ama strangers. Kutatua swala hili, kama paneli, tumekuja na maswali ambayo ukiyatumia yanaweza kuzua ama kuchangia kupanua maongezi na pia kwa mchango flani kukusaidia wewe kumfanya mwanamke unaye chat naye kuingiwa na ari ya kuongea na wewe zaidi na zaidi.


Maswali yenyewe ni kama yafuatayo.

1. Kawaida unafanya nini siku za wikendi?
Hili ni swali lililowazi ambalo unaweza kumuuliza mwanamke yeyote ili kuzua mjadala zaidi. Iwapo ashaeleza katika profile  yake, basi unaweza kulijeuza swali hilo na kumuuliza zaidi kuhusu mambo anayoyafanya wikendi. Mfano kama ameeleza kuwa wikendi yeye hupenda kupika unamuuliza ni chakula gani na kadhalika. Hivi utamfanya akuelezi mengi na mengi huku ukimakinika kwa kuchukua yote ambayo atakutajia ili baadae utumie hio nafasi kuuliza maswali zaidi. Pia unaweza kutumia hii nafasi uangalie vitu ambavyo vinafanana na mnavipenda nyote wawili. [Soma
: Njia tofauti tofauti za kutongoza kwa kutumia macho]

2. Ushawahi kukutana na mwanamume yeyote kwa mtandao ambaye humpendi?
Hili ni swali muhimu la kumuuliza mwanamke kwani litakusaidia wewe kujitenga na kujitofautisha na wanaume wengine wanaopatikana kwa mtandao wa kijamii. Kumuuliza swali hili litamfanya kufungua roho yake kwako kwani ataona ya kwamba wewe unaelewa tofauti na changamoto ambazo zinapatikana kwa wanawake kutoka kwa wanaume. Hii kwa muda mfupi utamwona mwanamke kama huyu akiingiwa na ari ya kutaka kukujua zaidi na zaidi.[Soma:
Maswali machafu ya kumuuliza mwanamke mtandaoni mpaka apandwe na nyege]

3. Je wapenda date zinazofanyika online?
Hapa lazima utumie ujanja wakati wakuuliza swali kama hili. Jaribu kutumia mbinu ya kujeuza jeuza na kuchezea maneno ilimradi uzue maswala mengi ambayo yatazunguka katika hili swali. Mfano baada ya kumuuliza unaweza kuuliza maswali kama nani, wapi, ilikuwaje, halafu nk ili kufanya maongezi yenyewe yawe na mnato wake.
Jaribu kumakinika kadri uwezavyo na unukuu mambo ambayo tayari amepitia ili kujaribu kufananisha na yako.

4. Vitu gani unavyopenda na kuchukia?
Fanya kumuuliza hili swali ili upate kuyajua mambo yake . Hii itakuwasaidia wewe kuweka mipaka kwa mambo ambayo yanaweza kumkwaza ama kumfurahisha.[Soma: 
Mchezo utakaotumia kumshawishi mwanamke atoke deti na wewe bila kukataa]

KUMBUKA: Kulingana na utafiti ni kuwa ndoa nyingi ambazo zinatokana na mitandao ya kijamii hufanikiwa zaidi kuliko ndoa nyingine zozote zile.
Pia fahamu ya kwamba maswali manne hapo juu yanaweza kubadilishwa ili yatumike kulingana na changamoto unazoziona wewe

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here