Mwanamitindo Kylie Jenner ambaye alikuwa mpenzi wa rapper Tyga, amekanusha taarifa zilizoenea mtandaoni kuwa alimkopa Tyga kiasi cha dola milioni mbili ($2m) kama ilivyoripotiwa na mtandao wa Radar Online kuwa Tyga amekua katika wakati mgumu kifedha kutokana na kumkopesha aliyekua mpenzi wake huyo.

Kylie amekanusha tetesi hizo kupitia account yake ya Twitter.

No comments:
Post a Comment