Majeshi ya Afrika yajadili changamoto - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 19 May 2016

Majeshi ya Afrika yajadili changamoto


Mkutano wa wakuu wa Majeshi ya nchi kavu Afrika kujadili changamoto zinazoyakabili majeshi hayo unamalizika leo, Arusha Tanzania.

Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi, Luteni Kanali Ngeleba Lubinga, viongozi hao wamepeana uzoefu wa kukabiliana na ugaidi, mapambano dhidi ya biashara haramu ya binadamu, ikiwemo usafirishaji watoto pamoja na dawa za kulevya.
Mkutano huo, ulioanza Mei 16 na Kufunguliwana Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi nchini Tanzania, umewashirikisha wakuu wa majeshi ya nchi kavu zaidi ya 38.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here