Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Anaondoka Nchini Leo Kumwakilisha Rais Magufuli Mkutanoni Papua New Guinea - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 27 May 2016

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Anaondoka Nchini Leo Kumwakilisha Rais Magufuli Mkutanoni Papua New Guinea

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kwenda Papua New Guinea ambako atamwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) ambao utafanyika kuanzia Mei 30 hadi Juni 01, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here