Ndani ya siku 3 Longa nasi ya Takukuru imezikusanya taarifa kiasi hiki - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 26 May 2016

Ndani ya siku 3 Longa nasi ya Takukuru imezikusanya taarifa kiasi hiki



May 23 2016 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu alizindua huduma ya longa nasi kata mnyororo wa rushwa ambayo imeanzishwa na Taasisi ya kupambana na Rushwa Tanzania Takukuru.

Huduma hiyo inawawezesha wananchi kupiga simu na kutoa taarifa za Rushwa kwa kupiga namba 113 au *113# yote ni kusaidia wananchi badala ya kwenda ofisi za Takukuru watakuwa wanatoa taarifa ambazo zitazingatia usiri.
Leo May 26 2016 imetolewa taarifa na kaimu mkuu wa idara ya uratibu na utoaji habari elimu kwa Umma, Matai Kirumbi kwamba wamepokea zaidi ya taarifa 8000 mpaka jana May 25 ambapo wameanza kuzifanyia kazi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here