Ndege ya Korean Air yawaka moto dakika chache kabla ya kupaa kutoka uwanja wa ndege Tokyo - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 27 May 2016

Ndege ya Korean Air yawaka moto dakika chache kabla ya kupaa kutoka uwanja wa ndege Tokyo

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu litokee tukio la kuanguka ndege ya Egyptian Air May 19 2016, taarifa nyingine iliyoripotiwa leo May 27 2016 inahusu ndege ya  Korean air aina  ya Boeing 777 kupasuka injini moja ya kushoto na kuwaka moto dakika chache kabla ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Haneda Tokyo kuelekea Seoul.
ndege
Taarifa zilizotolewa na Japan Television zinasema ndege hiyo iliyokua na abiria 307 na crew ya watu 17 walihamishwa kwa haraka kwenye ndege hiyo lakini bado moto huo uliwajeruhi watu 7  wakiwemo wanaume wawili na wanawake watano.
Mabasi mawili ya zima moto yalifika eneo la tukio na kuzima moto huo, chanzo cha itilafu ya ndege hiyo bado hakijajulikana na uchunguzi bado unaendelea.
ndege1
ndege2
ndege3
abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here