Nicki Minaji ashtua Instagram kwa picha tata - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 25 May 2016

Nicki Minaji ashtua Instagram kwa picha tata

Rapa wa kike kutoka kundi la Young Money, Nicki Minaj amevunja ukimya kwa kutupia picha za utupu mtandaoni.
0524-jason-daphne-pda-footer-5
Mastaa wengi duniani wakiongozwa na Kim Kardashian wamekuwa wakitumia njia ya kupiga picha za utupu na kuzitupia mitandaoni huku wengine wakitafuta njia nyingine za kufanya majina yao yazidi kuwa juu.

rs_600x600-151120153325-600-jason-derulo-daphne-joy-couple-instagram-bn-1120151
Baada ya kuonekana kuwa kimya na kutulia na mpenzi wake Meek Mill, rapa huyo amepost picha kupitia akaunti yake ya Instagram zinazoonyesha utamu wake ukiwa mtupu na kuwaacha vidume vikikodowa macho.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here