Siri ya jumba jipya la kifahari la Adele yavuja - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 30 May 2016

Siri ya jumba jipya la kifahari la Adele yavuja

Baada ya kuficha kwa muda mrefu imegundulika kuwa Adele amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 9.9.
0527-adeles-house-douglas-ellman-1
Jumba hilo lililopo Los Angeles lina vyumba vine vya kulala, mabafu sita na bwawa kubwa la kuogelea huku nyumba hiyo ikiwa karibu na mastaa kama Jennifer Lawrence, Ashton Kutcher, Mila Kunis, Cameron Diaz, Nicole Richie.

Aidha siku chache zilizopita Adele alidaiwa atasaini dili na kampuni ya Sony lenye thamani ya paundi milioni 90 na kumfanya utajiri wake kuongezeaka mara mbili zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here