Tanzia: Askari wa Usalama Barabarani, Ally Kinyogoli Auawa kwa Kupigwa Risasi - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 20 May 2016

Tanzia: Askari wa Usalama Barabarani, Ally Kinyogoli Auawa kwa Kupigwa Risasi

Watu wasiojulikana wakiwa na pikipiki aina ya Boxer,usiku wakuamkia leo wamemuuwa kwa kumpiga risasi kadhaa katika sehemu mbalimbali za mwili wake Askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, Ally Kinyogoli nyumbani kwake Mwandege, Mkuranga mkoani Pwani.

Baada ya kumuua, watu hao walitokomea kusikojulikana bila kuchukua kitu chochote

Kinyogoli alijizolea umaarufu katika kipindi cha redio One kila siku asubuhi alipokua akitoa taarifa za hali za barabarani zikiwemo njia zenye foleni kwa wakazi wa jijini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here