Ukistaajabu ya mussa Mashairi ya Kanye West yatumika kanisani - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 19 May 2016

Ukistaajabu ya mussa Mashairi ya Kanye West yatumika kanisani

Mashairi ya Kanye West kwenye albamu yake ya ‘The Life Of Pablo’ yameanza kutumika kanisani huko Uingereza.
34523D3200000578-0-image-m-96_1463552903461
Kwa mujibu wa gazeti la The Telegraph kanisa la St. Andrew limetumia baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo wa Kanye West, “”You’re not perfect, but you’re not your mistakes,” ambayo yapo kwenye wimbo wake wa ‘Olny One’.

Hiyo siyo mara ya kwanza kwa makanisa kutumia baadhi ya mashairi ya nyimbo kwa waumini wao. Mwaka jana kanisa la Christian City lililopo Toronto lilitumia mashairi ya Drake “For God So Loved The 6,” yaliyopo kwenye wimbo wake wa ‘Home Town’.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here