BET wampa shavu mtoto wa Diamond, Tiffah - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 1 June 2016

BET wampa shavu mtoto wa Diamond, Tiffah

Image result for picha ya tiffah
Kwa kipindi chote ambacho nipo kwenye tasnia ya habari lakini sijawahi kupata umaarufu kama alioupata mtoto wa Diamond Platnumz, Tiffah. Wanasema mtoto wa nyoka naye ni nyoka, hivyo kuwa binti wa mwanamuziki maarufu Afrika kama Diamond umaarufu si kitu kinachoepukika.
Wiki hii kituo cha runinga cha BET tawi la Afrika kimempa shavu mtoto huyo mwenye takriban miezi kumi sasa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.

“Our #CuteDay snap is baby Princess Tiffah, @diamondplatnumz’s bundle of cuteness. RT to share the cuteness,” wameandika BET kwenye picha ya mtoto huyo iliyowekwa Instagram na Twitter.
Mama yake, Zari ameirepost pia picha hiyo kwenye Instagram.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here