Bondia wa MMA Kimbo Slice afariki dunia - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 7 June 2016

Bondia wa MMA Kimbo Slice afariki dunia

Bondia wa MMA (mixed martial art), Kevin Ferguson maarufu kama Kimbo Slice amefariki dunia. Alikuwa na miaka 42.
kimbo-slice-800
Ferguson alilazwa Jumatatu huu huko South Florida, Marekani. Haijajulikana bado sababu ya kifo chake.

Alikuwa chini ya kampuni ya Bellator MMA na alikuwa amepangwa kupigana na James Thompson July 16 jijini London.
Pamoja na kupigana, Ferguson aliwahi kuigiza kwenye filamu ya mwaka 2012, The Scorpion King: Battle For Redemption.
Ameacha watoto sita.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here