Hitmaker wa ‘Kesho’ na ‘Sunshine’ Habida ni mjamzito na anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili hivi karibuni.

Hiyo ni sababu amekuwa kimya kwa muda sasa huku akiwa amehamishia makazi yake jijini Capetown, Afrika Kusini.
“I have one [another] child on the way nipo na mimba sasa hivi so I will be delivering shortly,” Habida alikiambia kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka.
“That’s another reason nimekuwa kimya kidogo,” aliongeza.
Habida amesema pamoja na muziki kwa sasa anajihusisha zaidi na uigizaji Afrika Kusini na Los Angeles.

No comments:
Post a Comment