Jay Moe kuja na kolabo yake na msanii wa Afrika Kusini - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 8 June 2016

Jay Moe kuja na kolabo yake na msanii wa Afrika Kusini

Rapper Jay Moe amesema baada ya kuachia video ya wimbo ‘Pesa ya Madafu’ hivi karibuni, anajipanga kuacha kolabo yake mpya na msanii wa Afrika Kusini.
Jay Moe
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Jay Moe amesema hataki kuwachosha tena mashabiki wake kwa ukimya mrefu.

“Jay Moe amerudi rasmi kwenye game, kazi kazi, tayari na kolabo na msanii wa Afrika Kusini,” alisema Moe. Wakati nipo Afrika Kusini nikishoot video, nilipata nafasi ya kufanya kazi na msanii wa kule, kwa hiyo sipendi kuizungumzia sana lakini ndiyo kazi ambayo inakuja,”
Jay Moe amesema kazi yake mpya, ‘Pesa Ya Madafu’ inafanya vizuri ambapo amewataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kusupport kazi zake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here