Vidonda vya tumbo ni tatizo linalo watesa, mamilioni ya watu duniani. Hata hivyo, kama wewe ni mhanga wa tatizo la vidonda vya tumbo, unaweza kupona tatizo lako kwa kutumia lishe ( Tiba-Lishe ) Asilia.
Asali
Tiba lishe asilia ya kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la vidonda vya tumbo, inaandaliwa kama ifuatavyo :
MAHITAJI.
i.Maziwa fresh nusu lita.
ii.Mayai manne ya kuku wa kienyeji
iii.Asali mbichi ya nyuki wadogo nusu lita. ( Igawanye katika robo lita )
iv.Kijiko kimoja kikubwa cha unga wa makaratusi
v.Kijiko kimoja kikubwa cha unga wa Habat Sodah.
vi. Ufuta robo kilo
vii. Dawa asilia ya Mkatavido.
MATAYARISHO :
A. Chukua maziwa fresh kiasi cha nusu lita na uyachemshe, kisha yaipue halafu yaache hadi yapoe. Yakisha poa, tia ndani yake viini vinne vya mayai ya kuku wa kienyeji. Halafu ongeza robo lita ya asali mbichi ya nyuki wadogo, kisha weka kijiko kimoja kikubwa cha unga wa makaratusi, pamoja na kijiko kimoja kikubwa cha unga wa Habbat Sodah. Koroga mchanganyiko wako na uuhifadhi kwenye chombo kisafi.
MATUMIZI : Tumia kula vijiko viwili vikubwa, mara tatu kwa siku kwa muda wa siku saba.
B : MATAYARISHO.
Chukua ufuta robo kilo, utwange kisha uchanganye kwenye robo lita ya asali mbichi ya nyuki wadogo, weka kwenye chupa ya plastiki, tikisa na uache mchanganyiko wako kwa muda wa lisaa limoja.
MATUMIZI : Tumia kula vijiko viwili vikubwa, mara mbili kwa siku kwa muda wa siku kumi.
C : MATAYARISHO.
Chukua vijiko viwili vya dawa ya MKATAVIDO, kisha changanya kwenye glasi yenye maziwa ya moto ambayo ujazo wake ni milimita mia mbili na hamsini. Ukimaliza hapo koroga kisha iache kwa muda wa dakika tatu.
MATUMIZI : Tumia kunywa mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni kwa siku thelathini.
JINSI YA KUPATA DAWA YA MKATAVIDO : Kwa mahitaji yako ya dawa ya MKATAVIDO pamoja na dawa zote zilizo orodheshwa hapo juu, fika katika ofisi za NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC, duka la kuuza dawa mbalimbali za asili lililopo jijini Dar Es Salaam, katika eneo la UBUNGO jirani na UBUNGO NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja wa jijini Dar Es Salaan, wasio na nafasi ya kufika ofisini Ubungo, watapelekewa dawa mahali walipo, kwa wateja waliopo mikoani na nchi jirani, watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa mabasi, kwa wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa Boti, kwa DIASPORA, watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA
No comments:
Post a Comment