Keki yakatwa kumkaribisha Rich Mavoko ‘State House’ ya Diamond - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 3 June 2016

Keki yakatwa kumkaribisha Rich Mavoko ‘State House’ ya Diamond

Baada ya Rich Mavoko Alhamisi hii kuandika historia mpya katika maisha ya muziki wake kwa kusaini rasmi mkataba wa miaka 10 wa kufanya kazi na label ya ‘WCB’ iliyochini Diamond Platnumz, staa wa huyo wa hit nyingi amekaribishwa rasmi ‘State House’ ya Diamond iliyopo Madale kando kando kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Rich Mavoko akaribishwa kwa shangwe State House
Kwa mujibu wa mmoja kati ya viongozi wake WCB, aliimbia Bongo5 kuwa tukio hilo haliitaji maparazi kwani wameliweka kifamilia zaidi. Hata hivyo Diamond alionaashare hata video kwa mashabiki wa muziki wake kuonyesha namna walivyompokea msanii huyo.

Kwa sasa Rich Mavoko anatamba na video yake mpya ya wimbo ‘stori’ ambayo ilizinduliwa jana baada ya kusaini mkataba na WCB.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here