Lil Wayne adaiwa kumpiga ngumi baunsa kwenye party ya tuzo za BET - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 30 June 2016

Lil Wayne adaiwa kumpiga ngumi baunsa kwenye party ya tuzo za BET

Rapper Lil Wayne amejikuta anahusishwa na ugomvi uliotokea kwenye party ya BET iliyoandaliwa na rapper 2 Chainz kwenye club ya Hyde.
mixtape-follow-lil-wayne-25
Mtandao wa udaku wa TMZ umelipoti kuwa kuna baunsa anasema alipigwa ngumi na Lil Wayne wakati watu wake walipozuiliwa kuingia ndani.

Timu ya Wayne imekanusha taarifa hizo na imesema baunsa huyo alimshika vibaya Lil Wayne kwenye mkono wake na ndipo walipotofautiana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here