Nguo, tuzo na mali zingine na Whitney Houston kupigwa mnada - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 3 June 2016

Nguo, tuzo na mali zingine na Whitney Houston kupigwa mnada

Tuzo, nguo za red carpet na mali zingine za marehemu Whitney Houston zitapigwa mnada June 24 na 25.
image
Mnada huo utasimamiwa na kampuni ya Heritage Auctions na familia yake.
Jumla ya vitu 119 vilivyomilikiwa na muimbaji huyo vitauzwa. Hati yake ya kusafiria ni miongoni mwa vitu hivyo.

image
Pia ipo shela aliyoivaa kwenye harusi Bobby Brown mwaka 1992.
Houston alifarili February 11, 2012, kwenye hoteli huko Beverly Hills, California nchi Marekani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here