Picha: Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 16 June 2016

Picha: Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house

Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here