Ufaransa kufungua mashindano ya Euro 2016 - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 10 June 2016

Ufaransa kufungua mashindano ya Euro 2016

Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza leo Jun 10/2016 huko nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo ukichezwa katika uwanja wa Stade de France Mjini Paris.
35193AA000000578-3633999-image-a-2_1465501493347
Jumla ya timu 24 zitashiriki michuano hii na ikiwa ni mara ya kwanza kuweza kushirikisha idadi ya timu hizo hapo awali ni timu 16 tu ndizo zilikua zinacheza michuano hii.
Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here