Walper asema akuna kitu ambacho Harmonize anaogopa sana kama kutendwa - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 1 June 2016

Walper asema akuna kitu ambacho Harmonize anaogopa sana kama kutendwa

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amesema mpenzi wake wa sasa, Harmonize anaogopa sana kutendwa hali ambayo inamuogopesha kumfanyia kitu chochote kibaya.
13248960_733309796808616_276779801_n
Akiongea katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumanne hii, Wolper amesema Harmonize anaonyesha ni mtu ambaye ameshatendwa sana hivyo hataki tena hali hiyo imrudie.
“Harmonize ana hofu ya mungu, ni muoga kuumizwa sana, sijui waliyopita ilikuwaje?, lakini anasema anaogopa sana kuumizwa hicho ndio kitu ambacho kinanifanya niogope kabisa kufanya kitu chochote kibaya, yaani ni muoga wa kuumizwa kuliko kitu chochote,” alisema Wolper.

Muigizaji huyo amesema Harmonize ameweza kumsahaulisha mambo yote aliyofanyiwa na Mkongo kwa muda mfupi.
Pia amewataka mashabiki wake wa filamu kuacha kumtukania mpenzi wake huyo, kwani ni bora atukanwe yeye.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here