Bill Nas kumtumia director wa nje kwenye video ya wimbo wake ujao - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 4 July 2016

Bill Nas kumtumia director wa nje kwenye video ya wimbo wake ujao

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Bill Nass amefunguka kuwa atamtumia director wa nje kwenye video ya wimbo wake ujao.
5b0c55c9d79c53225c78eac795a84dec
Bill Nas ambaye kwa sasa video yake ya ‘Chafu Pozi’ inafanya vizuri kwenye TV na redio, ameiambia Bongo5 kuwa ataachia wimbo mpya mwezi Novemba na atamtumia director kutoka nje ya nchi kutengeneza video hiyo.

“Tumepanga kuachia wimbo mpya mwezi Novemba, kila mwaka ni ngoma mbili tu. Nahisi tunaweza tukaachia wimbo niliofanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu,” alisema Bill Nas.
“Nahisi hii ngoma nyingine tutafanya na director mkubwa wa nje ili tuone tutasogea wapi na location itakuwa nje ya nchi pia,” aliongeza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here