Madonna atembelea makazi ya Kibera, - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 4 July 2016

Madonna atembelea makazi ya Kibera,

Muimbaji wa Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna, yupo nchini Kenya alikoenda kutembelea makazi duni ya Kibera yaliyopo jijini Nairobi.
13561916_1812825272285376_322677764_n
Madonna akiwa amemkumbatia mama wa Kikenya anayeishi Kibera
Muimbaji huyo ni muasisi wa taasisi ya Raising Malawi na balozi mwema wa Child Welfare nchini Kenya. Madonna anayekadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 800 ametumia muda wake kuzungumza na wakazi wa makazi hayo ya Kibera.

13534079_260300787677373_736439752_n
Ameshare picha kadhaa za kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa kwenye makazi hayo maarufu.
“Hugging Mama Sopfie. This Amazing Woman lives in a 10 by 10 dwelling in Kibera with her 14 children-2 adopted. Her husband killed in a political uprising. She’s starting her own business with the help of @shofco. God Bless Her,” ameandika Madonna kwenye picha moja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here