Shahidi akwamisha Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 4 July 2016

Shahidi akwamisha Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto

Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ilifungua kesi ya madai ya fidia ya Sh. bilioni 500  Mahakama kuu, kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Zitto Kabwe. IPTL pamoja na wadai wenzake waliiomba mahakama imwamuru Zitto kulipa fidia hiyo kwa madai ya kutoa kashfa dhidi yao kimaandishi
Kesi hiyo dhidi ya Zitto Kabwe na gazeti la Raia Mwema leo imeahirishwa na Mahakama Kuu ya Tanzania mpaka August 24 2016 baada ya mawakili wa IPTL kusema shahidi wao muhimu ameumwa ghafla hivyo hataweza kutoa ushahidi.

Katika kesi hiyo IPTL na mmiliki wake wanadai walipwe Tshs 500,000,000 (Bilioni mia tano) kwa madai kwamba gazeti la Raia Mwema liliandika uongo dhidi ya IPTL kuhusu hela zilizoibiwa kwenye Escrow Akaunti.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here