Baby Shower ya Mtoto wa Gigy Money Yabuma...Apitisha Kapu la Mchango Kwa Wasanii - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday 21 February 2018

Baby Shower ya Mtoto wa Gigy Money Yabuma...Apitisha Kapu la Mchango Kwa Wasanii

        
MWANADADA machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye anatarajia kujifungua mwezi ujao, amejikuta akishindwa kufanya shughuli ya maandalizi ya mapokezi ya mwanaye wa kike atakayemzaa ‘baby shower’ kutokana na mambo ya fedha kutokaa kwenye mstari.


Habari za ndani zilizonaswa na gazeti hili zilieleza kuwa, awali Gigy hakuwa na mpango wa kufanya shughuli hiyo hadi atakapojifungua, lakini baadhi ya marafiki zake wakamshawishi aifanye Jumamosi iliyopita, lakini siku ilipowadia akagundua bajeti ya shughuli haijatimia.

 Alipotafutwa Gigy kuhusu ishu hiyo alisema: “Nilikurupuka kuandaa shughuli ndani ya wiki moja wakati ninataka iendane na hadhi ya jina langu, nikaona isiwe tabu, bora nisogeze mbele hadi wiki ijayo, Inasemekana kwa sasa Gigy anapitisha kapu la michango kwa wasanii wenzake ili kufanikisha shughuli hiyo..

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here