JINSI MWILI WA AKWILINA ULIVYOCHUKULIWA MUHIMBILI KUPELEKWA NIT KUAGWA - OREST NGOWI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Thursday, 22 February 2018

JINSI MWILI WA AKWILINA ULIVYOCHUKULIWA MUHIMBILI KUPELEKWA NIT KUAGWA

Responsive Ads Here
1Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa aliongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.

Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi lilikuwa katika gari maalumu la kubebea maiti.

Baada ya kuaga mwili wa mwanafunzi huyo, saa 10 jioni safari kuelekea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kwa mazishi itaanza. Akwilina atazikwa kesho 

1
2
1
2
4
7
10

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad