Jibu la Wolper Baada ya Kupigwa Stop na Sarah Kuwasiliana na Harmonize - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 10 April 2018

Jibu la Wolper Baada ya Kupigwa Stop na Sarah Kuwasiliana na Harmonize

Jibu la Wolper Baada ya Kupigwa Stop na Sarah Kuwasiliana na Harmonize


Muigizaji Jacquline Wolper kupitia instagram account yake amepost picha inayoonyesha ujumbe aliotumiwa WhatsApp ambapo mwanamke anamuomba akae mbali na mpenzi wake na aache ku-comment kwenye post zake anazozipost, ujumbe huo umeandikwa kwa lugha ya kiingereza kisichofasaha.


Baada ya ujumbe huyo Jacquline Wolper aliandika “😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe acha nikuhurumie tuu siwezi kukujbu#temporary post#huruma”



Inawezekana  Jacquline Wolper ameamua kuweka mahusiano yake ya kimapenzi private maana tokea aachane na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Brown hajamuweka mwanaume yoyote katika mitandao ya kijamii na kuthibitisha kuwa ni mpenzi. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here