OREST NGOWI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Tuesday, 10 April 2018

Jibu la Wolper Baada ya Kupigwa Stop na Sarah Kuwasiliana na Harmonize

7 years ago 0

Muigizaji Jacquline Wolper kupitia instagram account yake amepost picha inayoonyesha ujumbe aliotumiwa WhatsApp ambapo mwanamke anamuomba akae mbali na mpenzi wake na aache ku-comment kwenye post zake anazozipost, ujumbe huo umeandikwa kwa lugha...

Read More

Peter Msechu Asema Hajawahi Kuona Watu ' Wanafiki ' na ' Wabinafsi ' Duniani Kama Watanzania

7 years ago 0

Akizungumza muda mfupi tu uliopita katika mahojiano na Kituo kimoja cha Television Msanii Peter Msechu amesema kwamba kama kuna kitu ambacho amejifunza kwa Watanzania basi ni tabia zao kubwa mbili ' pacha ' za Unafiki na Ubinafsi. Alitolea mfano...

Read More

Friday, 23 February 2018

Mrembo Vera Adai Hajawahi Kupenda...Yeye Pesa Mbele Kwanza

7 years ago 0

MREMBO kutoka Kenya, Vera Sidika hivi karibuni alisema hajawahi kukutana na mwanaume mwenye vigezo vyote ambavyo anavitaka, mazingira yaliyomfanya mpaka leo awe hajawahi kupenda. Akijibu swali kutoka kwenye mtandao mmoja wa burudani nchini humo ju...

Read More

CHADEMA Wamjibu Msajilii wa Vyama vya Siasa

7 years ago 0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi inayowataka ndani ya siku tano kuwasilisha maelezo ya tuhuma za uvunjifu wa  Sheria ya Vyama vya Siasa na ya maadili ya vyama v...

Read More

Waziri wa Elimu Aaahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina

7 years ago 0

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu. Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi F...

Read More

USALAMA WAIMARISHWA KIJIJI ATAKACHOZIKWA MWANAFUNZI AKWILINA ALIYEPIGWA RISASI

7 years ago 0

Vyombo vya ulinzi na usalama vimeimarisha usalama katika eneo atakalozikwa mwanafunzi wa chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline katika kijiji cha Olele wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro. Uchunguzi uliofanywa na MCL ...

Read More

Lupita Nyongo Awaboa Ndugu zake Wakenya Uzinduzi wa Black Panther Kenya

7 years ago 0

STAA kutoka Hollywood mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyongo hivi karibuni amejikuta akiwaboa ndugu zake Wakenya baada ya kushindwa kuhudhuria uzinduzi wa Filamu ya Black Panther uliofanyika nchini hapo Jumanne iliyopita. Mashabiki wa mwanadada huyo...

Read More
Page 1 of 56112345...561Next �Last

Post Top Ad