
Mkali wa bongo fleva bongo diamond chibu dangote kuachia ngoma ya kurap itwayo simba
Akizungumza na kipindi kinachorushwa na clouds fm XXL meneja wa diamond amesema wimbo huo uitwao SIMBA utakuwa sio wa biashara bali ni zawadi kwa mashibiki amesema kama kama HIP HOP ni biashara ila diamond amefanya kwa ajili ya mashabiki wake na ni tayari wimbo huo umekwisha timia
No comments:
Post a Comment