Rais Magufuli kasafiri kwenda Arusha - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, 28 February 2016

Rais Magufuli kasafiri kwenda Arusha

President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameshafika Arusha tayari kwa ajili ya kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.

Kwenye hii picha anaonekana akisalimiana na mbunge wa Arumeru Mshariki Joshua Nassari ambae alikua mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA).
Picha imepigwa na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here