Waziri Maghembe amsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi Wanyamapori - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 24 March 2016

Waziri Maghembe amsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi Wanyamapori

Waziri wa Maliasili na Utalii Pro. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi wa Wanyamapori, Charles Mulokozi baada ya kutoa vibali vya kusafirisha Tumbili kwenda Albania.

Sakata hilo limetokea baada ya Jeshi la Polisi kuwakamata raia 2 wa Uholanzi katika uwanja wa ndege wa KIA wakiwa na Tumbili 61 hai wakijaribu kuwasafirisha kwenda nchini Albania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here