Baada ya kichapo kwa wafuasi wake Machar awasili Sudan Kusini - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 13 April 2016

Baada ya kichapo kwa wafuasi wake Machar awasili Sudan Kusini


Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini, Riek Machar, amerejea nchini humo kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka miwili kama sehemu ya utekelezwaji wa mkataba wa amani.

Atakapowasili mjini Juba, Bwana Machar anatarajiwa kuchukua wadhfa wake wa makamu wa rais.
Msemaji wake amethibitisha kwamba bwana Machar alikuwa katika makao makuu ya waasi yaliyo katika mji wa Pagak mpakani na taifa jirani la Ethiopia.
Baadhi ya waasi tayari wamewasili mjini Juba, na akizungumza punde baada ya kuwasili, naibu kiongozi wa waasi Alfred Ladu Gol amesema wakati umewadia kwa raia wote wa taifa hilo kuungana na kufanya kazi kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here