Selena Gomez kwenye kashfa ya kuiba mchumba wa mtu - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 12 May 2016

Selena Gomez kwenye kashfa ya kuiba mchumba wa mtu

Selena Gomez amehusishwa kwenye mahusiano na Orlando Bloom baada ya kuonekana usiku wakiwa wote klabu baada ya show huko Las Vegas, nchini Marekani.13118112_615300868638474_172335028_n
13118112_615300868638474_172335028_n
Ijumaa iliyopita Selena Gomez alifanya show kwenye ukumbi wa Mandalay Bay, Las Vegas lakini baadaye Orlando Bloom alihudhuria kwenye show hiyo kwa kushtukiza.

160512073910_instagram_logo_640x360_bbc_nocredit
Orlando Bloom (39) ambaye ana mahusiano na Katy Perry, anahusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Selena Gomez (23) kutokana na picha zilizoonekana wakiwa wote baada ya show hiyo ya usiku wa Ijumaa.
Kwa taarifa za ndani zinadai kuwa Katy Perry ameamua kuachana na Orlando Bloom kutokana na picha hizo zilizosambaa mitandaoni.
12717389_820033054809279_8276621906250143583_n12717389_820033054809279_8276621906250143583_n
Katy Perry akiwa na Orlando Bloom

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here