Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amwakilisha Rais Magufuli Kwenye mkutano wa Kupambana na Rushwa, London - OREST NGOWI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Thursday, 12 May 2016

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amwakilisha Rais Magufuli Kwenye mkutano wa Kupambana na Rushwa, London

Responsive Ads Here
IMGS4852.JPG
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mei 12, 2016. Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
BM7T8171
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kulia) akishiriki katika Mazungumzo Rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano kuhusu mapambano dhidi ya rushwa kwenye ukumbi Lancster House, London, nchini Uingereza Mei 12, 2016. Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad