Tiwa Savage ala shavu noma kwenye label ya Roc Nation - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 25 May 2016

Tiwa Savage ala shavu noma kwenye label ya Roc Nation

Jay Z ameripotiwa kukubali kusainishwa kwa msanii wa Nigeria, Tiwa Savage kwenye label yake, Roc Nation.
Tiwa_Savage's_studio_portrait
Kwa mujibu wa ripoti ya Urban View ya Nigeria, Jay Z ameshawishiwa na uwezo wa Tiwa na alikubali kusainiwa kwake May 24. Imedaiwa kuwa deal lilisimamiwa na wawakilishiwa Roc Nation, Briant Biggs na Shawn Pecas.

Hafla rasmi ya kumtangaza kama mwana familia mpya wa Roc Nation haijafanyika na bado label hiyo haijathibitisha. Kama ni kweli, Tiwa atakuwa msanii wa kwanza kutoka Nigeria kusainishwa kwenye label hiyo na kujiunga na Rihanna, Big Sean, DJ Khaled na wengine.
Balozi huyo wa Forte Oil, MTN na Pepsi kwa sasa yupo chini ya label ya Don Jazzy, Mavin Records.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here