Diddy achora tatoo ya jina la Mohammad Ali kifuani kwake - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 8 June 2016

Diddy achora tatoo ya jina la Mohammad Ali kifuani kwake

Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean Combs maarufu kama Diddy amechora kifuani tattoo ya aliyekuwa bingwa wa dunia Mohammad Ali aliyefariki Juni 4 mwaka huu.
drake
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diddy amepost picha inayoonyesha akiwa amechora tattoo ya jina la Mohammed Ali na kuandika, “Every tattoo on my body mean something to me. This one especially. I told him I wanted his signature. I told him I wanted it to be tattooed on me is in the mind of greatness. So he sent it to me . It is the tattoo on my chest. #RIPALI.”

Puff-Daddy-Drake-Getty
Muhammad Ali alifariki Juni 4 kwenye hospitali ya huko Phoenix ambako alikuwa akitibiwa kutokana na matatizo ya kupumua.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here