Malaika – Sijawahi kuwa na menejimenti tangu nimeanza muziki - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 10 June 2016

Malaika – Sijawahi kuwa na menejimenti tangu nimeanza muziki

Msanii wa Bongo Fleva, Malaika amesema kuwa tangu ameanza muziki hajawahi kuwa na menejimenti ila kuna watu wamejitokeza kutoka Norway wapo tayari kufanya hivyo.
13398905_1563952413899545_990633931_n
Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Hatua Tatu, kinachoruka kupitia Times FM.

“Sikuwahi kuwa na meneja tangu naanza muziki, wapo watu ambao wananisupport. Hata wewe ukipenda unanisupport, ili kuna watu wa Norway wapo tayari kunisimamia ikiwa tayari nitawajulisha,” alisema Malaika.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here