Uhuru autaka upinzani katika mazungumzo - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 10 June 2016

Uhuru autaka upinzani katika mazungumzo


Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa serikali haitaruhusu maandamano ya ghasia akitaja yale yanayofanywa na chama cha Upinzani Cord ambayo yamegeuka na kuwa maandamano na maafisa wa polisi.

Lakini aliongezea kuwa wataruhusu maandamano iwapo yatasalia kuwa ya amani kama ilivyo katika katiba.
Upinzani wa Cord umekuwa akifanya maandamano mara kwa mara ukitaka mabadiliko katika tume ya uchaguzi.
Awali siku ya Ijumaa upinzani huo umesema utakiuka agizo la waziri wa usalama la kupiga marufuku maandamano.
Bw Kenyatta ameutaka upinzani kuzungumza na serikali kuhusu maswala muhimu.''Tumetengeza timu... yetu leteni yenu'',alisema.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here