Producer wa AM Records, Manecky ameisaliti kambi ya mabachelor mastaa Bongo kwa kufunga ndoa Jumamosi ya June 11.
Manecky amefunga ndoa na mchumba wake Lilian George.
Kama ilivyokuwa kwa Mwana FA aliyefunga ndoa wiki ya juzi, Necky naye alikuwa akihalalisha tu kwakuwa yeye na Lilian wana mtoto wa kiume aitwaye Ethan.
Tunawapongeza Manecky na Lillian kwa kufunga ndoa na tunawatakia safari ya maisha ya pamoja yenye furaha tele.
No comments:
Post a Comment