Sasa hivi viuno vyangu vinaitwa ‘viuno vya nazi mbata’ – Bob Junior - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 3 June 2016

Sasa hivi viuno vyangu vinaitwa ‘viuno vya nazi mbata’ – Bob Junior

Bob Junior amesema kwa sasa ana jina jipya katika unenguaji wake wa viuno jukwaani.
e6780c6dbb2ad29fd41951418ade8ad8
Akiongea na kipindi cha Twenzetu cha Times FM, msanii huyo anayemiliki studio za Sharobaro Records alisema viuno vyake vitafahamika kwa jina la ‘Viuno vya Nazi Mbata.’

“Sasa hivi viuno vyangu vinaitwa viuno vya nazi mbata, ni jina jipya, na nimemodify zaidi kukatika,” alisema muimbaji huyo.
Hivi karibuni muimbaji na producer huyo aliachia wimbo wake aliomshirikisha msanii wa Uganda, Jose Chameleone.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here