Majina ya wasanii
wanaowania tuzo za mwaka huu za Afrimma yametajwa. Diamond ameongoza kwenye
orodha hiyo kwa kutajwa kwenye zaidi ya vipengele vinne.
Tuzo hizo zitatolewa Oktoba 15 nchini Marekani. Tazama
orodha ya wasanii wa Tanzania waliotajwa hapo chini.
Diamond
Alikiba
Alikiba
Best Female East Africa

Vanessa Mdee
Linah
Linah
Afrimma Video of the Year

Unconditionally Bae – Sauti Sol & Alikiba
My Sweet Love – Akothee f/ Diamond
My Sweet Love – Akothee f/ Diamond
Music Producer of the Year

Tudd Thomas
Best African Dancer

Moses Iyobo
Best Collaboration

Make Me Sing – Diamond & AKA
Best Africa Group


Yamoto Band
Song of the Year

Unconditionally Bae – Sauti Sol & Alikiba
Make Me Sing – Diamond & AKA
Artist of The Year
Make Me Sing – Diamond & AKA
Artist of The Year

Diamond
Best New Comer


Harmonize

No comments:
Post a Comment