Jay Z amemsaini rapa
wa kike, MC Rapsody kwenye lebo yake ya Rock Nation.
Mc
Rapsody ni rapa wa kwanza wa kike kusaini na lebo ya Roc Nation, lakini pia
aliwahi kuwa chini ya lebo kadhaa ikiwemo 9th Wonder’s na Jamla Records.
Kutokana
na furaha aliyokuwa nayo rapa huyo, kupitia akaunti yake ya instagram
aliandika, “Welcome to JamRoc. #Jamla
#Rocnation.” Mpaka
sasa Rapsody amefanikiwa kuachia albamu moja ‘The Idea Of Beautiful’ikiwemo na
mixtape ya ‘She Got Game’.
Aidha MC Rapsody aliwahi kushirikishwa na Kendrick Lamar kwenye
wimbo wa “Complexion (A Zulu Love)” uliokuwa kwenye albbamu yake ya ‘To Pimp a
Butterfly’.

No comments:
Post a Comment