Baraza la Tiba Asili na Tiba
Mbadala nchini, limekifutia usajili wake wa kutoa huduma za kitabu, Kituo cha
Tiba Asilia cha ForePlan Kliniki kilichopo Ilala Bungoni jijini Dar es salaam,
kinachomilikiwa na Dkt. Juma Mwaka maarufu kama Dkt. Mwaka, kwa madai kuwa
kimekiuka taratibu za kitabu za tiba mbadala.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa
Baraza hilo, Dkt. Edmund Kayombo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari,
kwenye Ukumbi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Habari kwa kina baadae.

No comments:
Post a Comment