TAFITI:Muda wa kulala unapungua hatua kwa hatua kufuatia kuongezeka kwa umri - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 5 July 2016

TAFITI:Muda wa kulala unapungua hatua kwa hatua kufuatia kuongezeka kwa umri


Wanasayansi wa idara ya utafiti kuhusu usingizi nchini Marekani wamefanya utafiti kuhusu muda wa kulala unaofaa kwa watoto wenye umri tofauti.

Wamesema muda wa kulala un
apungua hatua kwa hatua kufuatia kuongezeka kwa umri wa watoto. 
Watoto wachanga wenye umri wa miezi minne hadi mwaka mmoja wanatakiwa kulala saa 12 hadi 16 kwa siku, wale wenye umri kati ya mwaka mmoja hadi miwili wanatakiwa kulala saa
11 hadi 14, umri kati ya miaka mitatu hadi mitano wanatakiwa kulala saa 10 hadi 13, na umri kati ya miaka 6 hadi 12 wanatakiwa kulala saa 9 hadi 12. Watoto wanahitaji muda wa kulala usiopungua saa 8.
Wakati binadamu wanapolala, hali ya miili na akili inafufuka. Kutolala kwa muda wa kutosha kunaongeza h
atari ya kupata magonjwa mbalimbali, yakiwemo kunenepa kupita kiasi, ugonjwa wa kisukari, na mfadhaiko.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here